BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI
kiungo : BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

soma pia


BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akikabidhi moja ya kompyuta 10 kwa Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam zilizotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo Baadhi ya vitu vingine vilivyotolewa na benki ya Access kwa shule hiyo ni pamoja na viti 10na meza za kompyuta 10 wanaoshuhudia tukio hilo kulia ni Mwanafunzi Amina Ibony wa kidato cha IV na Nasib Masenga Kidato cha IV.
Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akiwa na Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam mara baada ya kukabidhi kompyuta hizo kutoka kulia ni Benedig Mfoi Meneja Uendeshaji Camara Education Foundation Tanzania.
Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akizungumza mara baada ya kukabidhi kompyuta hizo kulia ni Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona akimsikiliza Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam wakati alipokuwa akisoma risala ya shule mara baada ya kupokea kompyuta 10 kutoka Benki ya Access ya jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Turiani wilaya ya Kinondoni wakitumia kompyuta mara baada ya kukabidhiwa na benki ya Access leo jijini Dar es salaam.
Meneja Masoko Mwandamizi wa Benki ya Access Bw. Simon Sijaona na Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam wakiwaelekeza namna ya kutumia kompyuta hizo mara baada ya kukabidhiwa shuleni hapo leo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo wakifurahia wakati walipopewa taarifa ya kuletewa kompyuta hizo na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bw. Izungo Angalo kutoka Benki ya Access ya jijini Dar es salaam.
Bw. Izungo Angalo Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari ya Turiani Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam akitoa taarifa ya kupokelewa kwa kompyuta 10 kutoka Benki ya Access.


Hivyo makala BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI

yaani makala yote BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/benki-ya-access-yatoa-msaada-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BENKI YA ACCESS YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 MEZA PAMOJA NA VITI KWA SHULE YA SEKONDARI TURIANI KINONDONI"

Post a Comment