KUMBUKUMBU

KUMBUKUMBU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBUKUMBU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBUKUMBU
kiungo : KUMBUKUMBU

soma pia


KUMBUKUMBU

DR. FRANCIS MW. MSELLEMU 
1941- 1996 

Baba, Ni Miaka 22 sasa tangu uondoke hata bila ya kutuambia neno la KWAHERI! Maisha yetu hayajawahi kuwa rahisi bila uwepo wako, Baba. Japo watu wanatuona tukicheka , hawajui ni kiasi gani mioyo yetu inahuzunika kwa kukukosa malezi, mapenzi na uwepo wako wewe. Hata hivyo tunamshukuru MUNGU kwa kuendelea kutulinda, kututunza na kutubariki. Ameedelea kuwa kweli kwetu Mume wa Mjane na Baba wa Yatima. Tunakuombea Pumziko la Milele, na tukiamini kwamba siku moja tutakutana na tutaimba Halleluya pamoja na wewe mbinguni. Unakumbukwa daima na Mke wako Mpendwa Kodawa Mikaline Msellemu - ‘Mama K’ kama ulivyo kuwa umezoea kumuita, Watoto, Wakwe zako, pamoja na Wajukuu. Ndugu , Jamaa na Marafiki nao hawajakusahau. ‘Mamillioni Wanaitegemea’

-Pumzika kwa Amani DAD!


Hivyo makala KUMBUKUMBU

yaani makala yote KUMBUKUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kumbukumbu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KUMBUKUMBU"

Post a Comment