BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE

BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE
kiungo : BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE

soma pia


BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE

Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani wa benki ya TIB Corporate, Edwin Katanga akimkabidhi ua Mkurugenzi wa Fedha Mamlaka ya Usimamiz wa Bandari (TPA), Nuru Mhando mara baada ya kumtembelea ikiwa ni kuthamini mchango wa taasisi mbalimbali katika wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi wa Fedha Mamlaka ya Usimamiz wa Bandari (TPA), Nuru Mhando kulia akizungumza na wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate mara baada ya kutembelewa na wafanyakazi hao ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Fedha Mamlaka ya Usimamiz wa Bandari (TPA), Nuru Mhando mara baada ya kutembelea ofisi ya TPA kwaajili ya kuadhimisha siku ya huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila Oktoba.
Mkuu wa masoko na mahusiano wa Benki ya TIB, Theresia Soka akizungumza na Michuzi Blog kuhusiana na wiki ya huduma kwa mteja ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Oktoba katika taasisi mbalimbali na mashirika mbalimbali duniani kote.


Hivyo makala BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE

yaani makala yote BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/benki-ya-tib-corporate-yaadhimisha-wiki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA TIB CORPORATE YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTEMBELEA WATEJA WAKE"

Post a Comment