Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar

Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar
kiungo : Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar

soma pia


Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar

 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Khamis Mussa Omar kushoto akitiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden, Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kushoto akibadilishana hati ya saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendekleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
 Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutiliana saini na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutiliana saini na Mkuu wa Ushirikiano wa Maendeleo wa Ubalozi wa Sweden Ulf Kallstig kuhusiana na Mradi wa awamu ya pili wa Dola za Kimarekani milioni 5.76 ambazo sawa na shilling Bilioni 13 za kitanzania kwa ajili ya kusaidia sekta ya Elimu Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar

yaani makala yote Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/sweden-yatoa-msaada-wa-dola-576-milioni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Sweden yatoa msaada wa Dola 5.76 Milioni kusaidia sekta ya elimu Zanzibar"

Post a Comment