title : MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA
kiungo : MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA
MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA
Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi, Profesa Evaristo Liwa akimkaribisha Mkuu wa Chuo, Mhe Cleopa David Msuya kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyfanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Cho, Balozi Costa Kahalu na viongozi waandamizi wa ARU. (Imeandaliwa na Robert Okanda) .
Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Costa Mahalu akitoa hotuba yake wakati wa kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.
Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Mhe. Cleopa David Msuya akimtunuku Samweli Sanga Digrii ya uzamivu (Doctor of Philosophy) ya ARU wakati wa kuhudhurisha mahafali ya 12 ya chuo Kikuu Ardhi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Disemba 1. 2018. Kulia ni Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Chuo, Balozi Costa Kahalu na Makamu Mkuu wa ARU, Profesa Evaristo Liwa. Jumla ya wahitimu 974 wa shahada mbalimbali walitunukiwa stahili zao.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>
Hivyo makala MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA
yaani makala yote MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/mahafali-ya-12-ya-chuo-kikuu-ardhi-aru.html
0 Response to "MAHAFALI YA 12 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA"
Post a Comment