title : GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA
kiungo : GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA
GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
ALIYEKUWA Rais wa 41 wa Marekani, George Herbert Walker Bush amefariki dunia akiwa na miaka 94, familia yake imethibitisha. Bush aliyefahamika kama "the 41" ili kumtofautisha na mwanaye George W. Bush Rais wa 43 wa Marekani.
Familia ya Bush imetangaza kifo cha baba yao kupitia msemaji wa familia Jim MCGrath, ujumbe huo ulieleza kuwa, "Jeb, Neil, Marvin, Dor and I are saddened to announce that after 94 remarkable years, our dad has died" George Bush alieleza kwa niaba ya famila na kunukuliwa na jarida la Sunday News nchini humo.
Kifo cha Bush kimetokea baada ya miezi kadhaa tangu ampoteze mkewe Bi. Barbara Bush aliyefariki April, 17 mwaka huu. George Herbet Walker Bush atakumbukwa sana kwa mchango wake kwenye vita baridi ya 1988-1992 na aliangushwa kwenye uchaguzi mkali na Bill Clinton mwaka 1992, Bush alipoteza mvuto katika siasa kutokana na sera za nje zilizompelekea kuhudumumu kwa muhula mmoja pekee.
Kinachowavuta wengi ni kuwa Rais pekee aliyedumu kwenye ndoa na mkewe bi. Barbara kwa miaka 73, waliyotimiza mwaka 2017.
Hivyo makala GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA
yaani makala yote GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/george-w-bush-41-afariki-dunia.html
0 Response to "GEORGE W. BUSH "41" AFARIKI DUNIA"
Post a Comment