title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo.
kiungo : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng, alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao.08 Machi 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng, wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatanan nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng. ,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akimsikiliza Bw.Zhao Peng, Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE kiongozi wa Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifuatana na mgeni wake Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE Bw.Zhao Peng, baada ya mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao leo alipofika Ikulu Zanzibar, [Picha na Ikulu.] 08 Machi 2018.
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_8.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed SHEIN, Azungumza na Ujumbe wa ZTE Ikulu leo."
Post a Comment