TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI

TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI
kiungo : TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI

soma pia


TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI

 Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Tekonolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu, akimkabidhi cheti, Mwandishi wa Habari Suleiman Msuya, baada ya kushiriki mafunzo ya kuandika habari za Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO), yaliyofanyika New Dodoma Hoteli mkoani Dodoma na kuibuka Mshindi wa Pili katika Mashindano ya uandishi wa habari  juu ya teknolojia hiyo kwa kundi la Waandishi wa habari za magazeti. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Jukwaa la Wazi la Kilimo na Teknolojia Afrika (OFAB) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Cornell cha Marekani, Cornell Alliance For Science na African Agricutural Technology Foundation (AATF). 
Mshindi wa  Kwanza kwa upande wa Waandishi wa Habari za Magazetini Bw. Daniel Mkate akipokea cheti.
 Mshindi wa jumla wa kuandika habari za GMO kwa njia ya magazeti katika mafunzo hayo, Rose Milondo akikabidhiwa cheti.
 Picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.



Hivyo makala TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI

yaani makala yote TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/taasisi-ya-cornell-alliance-for-science.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TAASISI YA CORNELL ALLIANCE FOR SCIENCE YA MAREKANI YAWATUNUKU VYETI WAANDISHI WA HABARI KILIMO SAYANSI"

Post a Comment