title : RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE
kiungo : RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE
RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE, Bw. Zhao Peng (wa pili kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein(kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya ZTE wakati alipofika Ikulu Zanzibar leo ukiongozwa na Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE, Bw. Zhao Peng.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Makamo Mkuu wa Rais wa Kampuni ya ZTE, Bw.Zhao Peng, baada ya mazungumzo pamoja na Ujumbe aliofuatnana nao leo alipofika Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Hivyo makala RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE
yaani makala yote RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/rais-shein-akutana-na-ujumbe-wa-zte.html
0 Response to "RAIS SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA ZTE"
Post a Comment