title : RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA.
kiungo : RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA.
RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda katika kujali na kunusuru kazi za Wasanii amewatafutia mkopo wa Shilingi Bilioni 2 bila riba zitakazotolewa kwenye Halmashauri za Mkoa huo kupitia fungu la mkopo wa 10% zinazotolewa kwa Vijana, Walemavu na kinamama kwa lengo la kuwawezesha wasanii kufanya kazi zao kwa ufanisi na kuziingiza sokoni.
RC Makonda amesema wasanii wengi wamejikuta wakizalisha kazi nzuri lakini wanakosa mitaji ya kuingiza kazi zao sokoni kutokana na kukosa mitaji jambo linalowapelekea wenye pesa kutumia fursa hiyo kunyonya kazi za wasanii na mwisho wa siku wanazidi kudidimia.
Aidha RC Makonda amesema hadi kufikia mwezi March 01 mkopo huo utakuwa tayari na ameshazielekeza halmashauri kutoa fedha hizo huku akiwasihi wasanii kuchangamkia fursa hiyo.
Hayo yote yamejiri wakati wa kikao baina ya RC Makonda na Wasanii kilicholenga kutatua kero za wasanii wa tasnia mbalombali.

Hivyo makala RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA.
yaani makala yote RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/rc-makonda-awatafutia-wasanii-mkopo-wa.html
0 Response to "RC MAKONDA AWATAFUTIA WASANII MKOPO WA BILIONI 2 BILA RIBA."
Post a Comment