CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA

CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA
kiungo : CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA

soma pia


CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA


Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akitembelea maeneo ya mji wa Serikali Ihumwa, jijini Dodoma yanapojengwa majengo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Vijana na Walemavu, leo januari 31, 2019.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akimsikiliza Msimamizi Mkuu wa Kikosi cha Ujenzi cha Magereza katika mradi huo, ACP. Aron Lunyungu alipotembelea katika eneo la ujenzi wa Ofisi Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Vijana na Walemavu, leo januari 31, 2019.
Ujenzi wa majengo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Vijana na Walemavu, leo januari 31, 2019 ukiendelea katika hatua mbalimbali kama inavyoonekana katika picha.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike akisaini kitabu cha ukaguzi katika ujenzi wa Ofisi Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Vijana na Walemavu, leo januari 31, 2019(Picha na Jeshi la Magereza). 



…………………….. 

Na ASP. Lucas Mboje, Dodoma 

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike leo januari 31, 2019 ametembelea maeneo ya mji wa Serikali Ihumwa, jijini Dodoma yanapojengwa majengo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu, Ajira, Vijana na Walemavu ambapo amekiagiza Kikosi cha ujenzi cha Jeshi la Magereza kinachoshiriki katika ujenzi wa ofisi hizo kuzingatia ubora katika ujenzi wa majengo hayo. 

Kamishna Jenerali Kasike amewataka pia Maafisa na askari wanaoshiriki katika ujenzi wa ofisi hizo kuongeza kasi ya ujenzi kama ambavyo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alivyoagiza lakini wazingatie viwango vya ubora katika ujenzi huo. 

“Hakikisheni ujenzi unafanyika usiku na mchana kama tulivyokwishajipanga lakini zingatieni viwango vya ubora katika ujenzi”. Amesisitiza Jenerali Kasike. 

Aidha, Kamishna Jenerali Kasike amemtaka Msimamizi Mkuu wa Kikosi cha Ujenzi cha Magereza katika mradi huo, ACP. Aron Lunyungu pamoja na Mhandisi Mradi, SSP. Alfred Bundala kuhakikisha kuwa wanakusanya mahitaji yote muhimu katika eneo la ujenzi ili kufanikisha kasi ya ujenzi huo. 

Ujenzi wa majengo ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi ulitarajiwa kukamilika mapema ifikapo tarehe 31 Januari 2019 lakini kutokana na changamoto mbalimbali zilizokuwa nje ya uwezo wa Kikosi cha ujenzi cha Jeshi la Magereza, ujenzi huo umechelewa kukamilika kwa wakati na hatua za ukamilishaji zinaendelea kwa kasi ya kuridhisha.


Hivyo makala CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA

yaani makala yote CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/cgp-phaustine-kasike-atembelea-eneo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CGP – PHAUSTINE KASIKE ATEMBELEA ENEO LA UJENZI OFISI ZA WIZARA MAMBO YA NDANI, WIZARA YA ELIMU NA OFISI YA WAZIRI MKUU AJIRA, VIJANA NA WALEMAVU, JIJINI DODOMA"

Post a Comment