POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU

POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU
kiungo : POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU

soma pia


POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU


 Na Rhoda Ezekiel Kigoma,

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amewashauri Wasimamizi na waratibu wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini( TASAF) kushirikiana na viongozi wa vijiji na wataalamu wa aridhi kuanzishisha miradi itakayokuwa endelevu ambayo itakawaondoa haraka wanufaika wa mfuko huo.

Polepole ametoa kauli hiyo jana akiwa kwenye ziara yake ya mkoani Kigoma ambapo pamoja na mambo mengine alipata nafasi ya kutembelea wanufaika wa TASAF katika Kijijji cha Nyabitaka wilayani Kibondo mkoani Kigoma.Alipata nafasi ya Shamba darasa lenye hekari mbili la kilimo cha mseto kinachosimamiwa na wanufaika hao.

Polepole amewashauri waratibu wa TASAF kushirikiana na watalaamu wa aridhi na viongozi wa vijiji kutenga matumizi bora ya ardhi kwa ajili ya wanufaika badala ya kuwapatia Sh.40,000 kwa kila mwezi.

"Wasikisimamiwa vema kwenye kilimo watapiga hatua za kimaendeleo haraka zaidi na baada ya mwaka mmoja wanafuika hao hawatakuwa masikini tena.Hivyo ni vema mkaangalia mbinu sahihi za kuwaondoa wanufaika hawa kwenye umasikini,"amesema Polepole.

Amesema Serikali ya CCM imeandaa mpango huu wa maendeleo kwa ajili ya kunusuru kaya masikini na lengo ikiwa ni kuwainua watu watoke kwenye umasikini uliopitiliza na kufafanua mwaka 2025 mpango huo wa TASAF utakwisha endapo utamalizika na wananchi hawajapatiwa miradi ya kujikwamua na umasikini itakuwa haijasaidia chochote.

Amewaahidi wananchi wilayani Kibondo kuwa Serikali ya Awamu ya tano ya CCM itatoa Sh.milioni 52 kwa ajili ya wananchi wakopeshwe kwa lengo la kuwaondoa kwenye umasikini na kuwaomba watendaji na wenyeviti wa vijiji kuandaa utaratibu bora wa kuwakopesha Wananchi hao kwa utaratibu mzuri.

Kwa upande wa Mratibu wa TASAF mkoani Kigoma Jailos Pilla aMEsema utaratibu wa mfuko huo ni kuwa Wanufaika kubuni mradi wa maendeleo.Hivyo baada ya kubuni mradi na kuwezeshwa na TASAF baadae mradi unakuwa mali ya Serikali ya kijiji.

Amesema kila mnufaika anatakiwa kujifunza kupitia miradi hiyo inayoanzishwa ili aweze kuanzisha nyumbani kwake ili ajikwamue katika umasikini.Mmoja wa wanufaika wa TASAF, Lucia Mihayo amesema fedha alizozipata alizitumia kununa tofali na bati na mpaka sasa ameanza ujenzi wa nyumba ya bati ili aishi vizuri yeye na familia yake.


Hivyo makala POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU

yaani makala yote POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/polepole-awashauri-waratibu-tasaf.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "POLEPOLE AWASHAURI WARATIBU TASAF KUSHIRIKISHA WATALAAM WA ARDHI ILI KUWA NA MIRADI ENDELEVU"

Post a Comment