JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA.

JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA.
kiungo : JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA.

soma pia


JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA.

Image result for PICHA ZA JAKAYA KIKWETE
RAIS  Mstaafu Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika  harambee ya kukusanya fedha kiasi cha Sh. bilioni moja  kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Lindi iliyoungua Julai 2016.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, alisema harambee hiyo itafanyika Machi  29 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Zambi alisema maandalizi yote kwa ajili ya harambee hiyo yamekamilika na inatarajia kuhudhuriwa na wadau wengine wa sekta ya elimu nchini.
Alisema harambee hiyo imepanga kukusanya Sh. bilioni moja ikiwa ni karibu nusu ya mahitaji ya Sh. bilioni 2. zinazotakiwa kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo kongwe.
“Ni matumaini yetu kuwa kutokana na fedha tutakazokusanya, tumepanga ujenzi uanze wakati wowote. Zoezi hili litakwenda sambamba na mpango wa mkoa kuboresha mfumo mzima wa masuala ya elimu toka ngazi ya awali,” alisema  Zambi.
Mkuu wa Mkoa huyo alikiri kuwa mkoa wake ni mmoja kati ya inayofanya vibaya kwenye matokeo ya mitihani, akieleza kuwa hatua madhubuti zimechukuliwa ikiwamo kupima uwezo wa walimu.
Kwa upande wake Ofisa Elimu wa Mkoa huo, Emmy Mchuchuri, alitaja changamoto zinazoukabili  mkoa huo katika kutoa elimu ikiwamo miundombinu mibovu, uzembe wa walimu, utoro na kutokuwapo kwa chakula shuleni.
Alisema kuwa ofisi yake imeanza kutekeleza maadhimio ya wadau juu ya namna bora ya kuboresha elimu ndani ya mkoa huo ikiwamo utoaji wa chakula cha mchana mashuleni, mafunzo kwa walimu ili kujenga uwezo wao wa ufundishaji.
Alibainisha kuwa sambamba za zoezi hilo, walimu watakaobanika kuwa na viwango vidodgo vya ufundishaji watashushwa madaraja yao.


Hivyo makala JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA.

yaani makala yote JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/jk-kusimamia-harambee-ya-kuchangia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JK KUSIMAMIA HARAMBEE YA KUCHANGIA SHULE SHILINGI BILION MOJA."

Post a Comment