title : Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa
kiungo : Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa
Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo imesema itahakikisha Chama cha soka Zanzibar (ZFA) inasimamia kufanya maandalizi ya timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) mapema mwaka huu ili izidi kutoa upinzani mkali katika mashindano ya Cecafa Senior Chalenj Cup.
Akijibu swali lililoulizwa na Mwakilishi wa Jimbo la Konde Omar Seif Abeid aliyetaka kujua wizara ina mpango gani kabambe uliondaliwa kuhakikisha Zanzibar Heroes inaendelea kutoa upinzani katika mashindano hayo, naibu waziri wa wizara hiyo Chum Kombo Khamis amesema wizara kwa kushirikiana na idara ya michezo itahakikisha kuwa ZFA inasimamia kufanyika maandalizi ya timu hiyo mapema ili kuleta ushindani katika mashindano hayo.
Zanzibar Heroes ilifanikiwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya Cecafa Senior Chalenj Cup mwaka jana baada ya kufungwa kwa penalty 3-2 na wenyeji Kenya kufuatia kutoka sare ya 2-2 ndani ya dakika 120.
Hivyo makala Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa
yaani makala yote Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/zanzibar-heroes-kuanza-maandalizi.html
0 Response to "Zanzibar Heroes kuanza maandalizi mapema kwa michuano ya kimataifa"
Post a Comment