title : SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA
kiungo : SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA
SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa avalishwa rasmi vazi la jadi la uchifu na kupewa mbuzi na wazee wa jadi kama ishara ya heshima na kukubalika katika Kijiji cha Nghumbi kiliopo wilaya ya Kongwa.
Wananchi mbalimbali wa Kijiji cha Gomaye wakimsikiliza kwa makini Mheshimiwa Spika Job Ndugai ambaye alifanya ziara katika Kijiji hicho mapema leo.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa akilisikiliza kwa makini kikundi cha ngoma ambacho kilitoa buruduni katika Kjiji cha Njoge wilaya ya Kongwa. Spika anatarajia kutembelea vijiji kumi na mbili katika ziara yake wilayani humo.
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/spika-ndugai-afanya-ziara-katika-wilaya.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA KONGWA"
Post a Comment