WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA

WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA
kiungo : WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA

soma pia


WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA

WAZIRI  wa Nchi ofisi ya Rais Tamisemi  Selemani Jafo amesema hawezi kuwavumilia hata kidogo baadhi ya wawekezaji ambao wamekuwa na tabia ya  kufanya  udang’anyifu kwa wananchi kutokana na kuchukua maeneo makubwa ya ardhi pasipo kuyaendeleza mpaka yanapelekea kuwa mashamba pori hivyo ameagiza yarudishwe katika mikono ya serikali za vijiji ili wananchi wenyewe waweze kuyaendeleza katika shughuli nyingine za kimaendeleo.

Jafo ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kikazi kwa wananchi wa kijiji cha Kimara Misale kilichopo kata ya Mafizi katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ambapo amekwenda kwa ajili ya kuweza kujionea  na kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo pamoja na kuweza kusikiliza changamoto ambazo zinawakabili wananchi wa jimbo lake.

Amesema kumekuwepo na wimbi kubwa la mashamba pori katika baadhi ya maeneo  ambayo kwa kipindi cha muda mrefu  yametelekezwa hivyo  ameahidi kulivalia njuga suala hilo kwa lengo la kuweza kuwapa fursa wananchi waweze kurudishiwa maeneo yao ambayo yamechukuliwa na watu wachache ambao wameshindwa kabisa  kuyaendeleza kama inavyostahili.
 Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi Seleman Jafo akizungumza na wananchi wa kijiji cha  kimara misale iliyopo kata ya Mafizi Wilayani Kisarawe wakati wa ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kukagua miradi mbai mbai ya maendeleo na kuweza kusikiliza kero na changamoto zinazowakabili wananchi ii kuweza kuzitafutia ufumbuzi.
Baadhi ya viongozi wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wakiwa katika mkutano wa adhara kumsikiliza Waziri jafo wakati wa ziara yake ya kikazi ya kutembelea na kujionea miradi mbai mbali ya kimaendeleo inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na nguvu za wananchi wenyewe.(PICHA  ZOTE NA VICTOR MASANGU)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA

yaani makala yote WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-jafo-kuwavalia-njuga-wawekezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI JAFO KUWAVALIA NJUGA WAWEKEZAJI WENYE MASHAMBA PORI AMBAYO HAWAKUYAENDELEZA"

Post a Comment