MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA

MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA
kiungo : MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA

soma pia


MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA



Na Fredy Mgunda,Mufindi Kaskazini.

Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini ametoa jumla ya bati mia tano tisini (590) na saruji mifuko mia mbili ishirini (220) kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya shule,zahanati na nyumba za wafanyakazi wa zahanati na walimu wa shule zilizopo katika kata ya Ihalimba huku lengo likiwa kuboresha sekta ya elimu na afya kwa wananchi. 


Akizungumza na walimu wa kata hiyo mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmuod Mgimwa alisema kuwa ameamua kuwekeza katika elimu na afya kwasababu wananchi wakifanikiwa kupata vitu hivyo viwili kwa wakati watafanya maendeleo kwa kasi kubwa kulingana na wakati uliopo na kuendana na mazingira wanayoishi.


“Hivi ndio vipaumbele vyangu kwa kijiji hiki kwa wakati huu maana nimegundua kuwa changamoto kubwa ni kuwa shule nyingi za msingi zilijengwa miaka mingi iliyopita sasa zimechakaa na sio rafiki kwa wanafunzi kuwasaidia kupata elimu bora hivyo nimeanza na hilo pamoja na kuchangia maendeleo kwa kuboresha sekta ya afya ili wananchi wakiugua waweze kutibia hapa hapa kijiji kwa kuwa nina uhakika huduma itakuwa inatolewa kwa ustadi mkubwa na yenye ubora unaotakiwa” alisema Mgimwa

Mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini Mahmoud Mgimwa akiongea na walimu juu ya mambo aliyoyafanya kwenye kata hiyo kielimu ambapo ametoa jumla ya bati mia tano tisini (590) na saruji mifuko mia mbili ishirini (220) kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa madarasa ya shule,zahanati na nyumba za wafanyakazi wa zahanati na walimu wa shule zilizopo katika kata ya Ihalimba


Hivyo makala MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA

yaani makala yote MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mgimwa-atoa-bati-590mifuko-ya-saruji.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MGIMWA ATOA BATI 590,MIFUKO YA SARUJI 220 UJENZI MADARASA KATA YA IHALIMBA"

Post a Comment