title : MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU
kiungo : MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU
MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mjini Dodoma hapo jana, ikiwa ni sehemu ya ratiba yake ya kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali mara baada ya kuapishwa Bungeni mwanzoni mwa wiki. Picha kwa hisani ya PMO.
Hivyo makala MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU
yaani makala yote MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/mwanasheria-mkuu-akijitambulisha-kwa.html
0 Response to "MWANASHERIA MKUU AKIJITAMBULISHA KWA WAZIRI MKUU"
Post a Comment