Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara.

Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara.
kiungo : Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara.

soma pia


Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara.


Chama cha Urafiki wa Wananchi wa Nchi ya Tanzania Na Msumbiji TAMOFA Kimempa Ubalozi Bondia wa Kimataifa Francis Cheka Ili kuweza Kutangaza Chama Hicho kwa lengo la Kujipatia wafadhili ndani na nje ya nchi.

Akiongea mara baada ya makabidhiano ya kadi ya ubalozi Mkoani Mtwara Francis Cheka anasema Urafiki wa msumbiji na Tanzania Umekuwa wa Muda Mrefu na hivyo kuhamasisha wananchii kujiunga na chama hicho hasa wale wanaofanya safari katika nchi hizo mbili.

Hamza Lichete ni katibu mwenezi wa TAMOFA anasema kazi kubwa ya chama hicho ni kuimarisha Mahusiano pamoja na kulinda  Umoja  kati ya nchi hizi mbili kwa lengo la kuimarisha uchumi pamoja na amani.

Cheka ambaye kwa sasa anaishi Mkoani Mtwara amezaliwa Nchini Msumbiji lakini kwa kiasi kikubwa amekuwa akiitangaza Tanzania katika mapambano mbalimbali ya Kimataifa ambayo yamempatia umaarufu yeye pamoja  Na Nchi ya Tanzania

Chama cha TAMOFA kiliasisiwa na marasi Hayati Jullius Kambarage Nyerere pamoja na Samora Mashel mwaka 1987.
Bondia Francis Cheka akiwa amesimama Mbele ya Jengo la Ofisi ya TAMOFA maara baada ya Kupewa Ubalozi wa Chama Hicho Mkoani Mtwara.
 Bondia Francis Cheka akionesha Kadi ya Ubalozi wa TAMOFA kwa Waandishi wa Habari Mara Baada ya Kukabidhiwa Mkoani Mtwara.
Picha1.Mwenyekiti wa TAMOFA Kanda ya Kusini Seleman Mstapha Akimkabidhi Kadi ya Ubalozi wa TAMOFS bondia Francis Cheka Mkoani Mtwara.


Hivyo makala Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara.

yaani makala yote Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/bondia-francis-cheka-apewa-ubalozi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Bondia Francis Cheka apewa Ubalozi-Mtwara."

Post a Comment