WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO

WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO
kiungo : WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO

soma pia


WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO


VICTOR MASANGU, KISARAWE 

WANAFUNZI wapatao 472 na walimu zaidi ya 25 katika shule ya sekondari Makulunge iliyopo katika kata ya kiluvya Wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani kwa sasa wapo katika hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko ikiwemo UTI,na kipindu pindu kutokana na vyoo ambavyo wanavitumia kwa sasa vipo katika mazingira hatarishi na miundombinu yake kuwa mibovu hivyo wakati mwingine inawalazimu kwenda kujisaidia katika maeneo mengine.

Hayo yamebainika wakati wa ziara ya kikazi ya siku moja ambayo imefanyika katika kata ya Kiluvya na Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jafo ambapo baada ya kutembelea shule hiyo ya sekondari ameweza kubaini kuwepo kwa mapungufu makubwa ya walimu wa shule hiyo kutokuwa na choo chao hivyo kuchangia na wanafunzi wao.

Wakizungumza kwa masikitiko wanafunzi hao akiwemo Waziri Mwinjuma na Zuwena Mohamed wamebainisha kwamba kwa sasa wanapata shida kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira magumu ya miundombinu ya vyoo na kwamba kunahatarisha usalama wa afya zao kutoka na kukithiri kwa uchafu pamoja na miundimbinu kuwa mibovu na baadhi ya vyoo hazina milango na sehemu za ukuta zimeanza kubomoka.

Walisema kuwa kwa sasa kutokana na kuwepo kwa hali hiyo baadhi ya wanafunzi wengine hususan wa kike wanapata ugonjwa wa UTI kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi ukilinganisha na matundu ya vyoo yaliyopo hivyo wakati mwingine wanafunzi kujisaidia sehemu ambayo sio salama kabisa.
Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na baadhi ya walimu wa shule ya sekondari Makulunge iliyopo kata ya kiluvuya katika halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe,Mkoa wa Pwani alipofanya ziara yake ya kikazi kwa ajili ya kutembelea shule na kusikiliza changamoto mbali mbali zinazowakabili.
Waziri wan chi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo akizungumza na viongozi na watendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wakati wa ziaara yake ya kikazi aliyoifanya katika kaata ya Kiluvya kwa ajili ya kujionea shughuli mbali mbali za kimaendeleo na kusikiliza kero za wananchi.
Mmoja wa walimu wa shule ya sekondari Makuunge Ester Matemu akizungumza kuhusiana na changamoto ambayo ianwakabili ya ukosefu wa vyoo,(PICHA ZOTE NA VICTOR MASANGU)



Hivyo makala WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO

yaani makala yote WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/waziri-jafo-abaini-kuwepo-wanafunzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI JAFO ABAINI KUWEPO WANAFUNZI 472,WALIMU SHULE SEKONDARI MAKULUNGE WILAYANI KISARAWE KUKABILIWA NA TATIZO LA VYOO"

Post a Comment