Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa

Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa
kiungo : Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa

soma pia


Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa


 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunautaarifu Umma na Wateja wetu wote kuwa, tumetoa muda wa siku nne (4) kuanzia Januari 12, 2018 hadi siku ya Jumatatu Januari 15, 2018 kwa wadaiwa sugu wawe wamelipa madeni yao.

Baada ya muda huo kuisha Shirika litasitisha Huduma ya umeme dhidi ya Wateja watakaoshindwa kulipa madeni ikiwa ni pamoja na kuchukua hatua zingine za kisheria.

Ofisi za TANESCO zitakuwa wazi siku ya Jumamosi Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 9:00 Mchana.

mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Mitandao ya kijamii

Twitter, http://www.twitter.com/tanescoyetu,

Facebook http://ift.tt/2CNxNsB

IMETOLEWA NA: OFISI YA UHUSIANO

TANESCO MAKAO MAKUU

JANUARI 11, 2018


Hivyo makala Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa

yaani makala yote Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/nishati-tanesco-yatoa-siku-nne-4-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Nishati : TANESCO yatoa siku Nne (4) kwa Wadaiwa Sugu wa bili za Umeme Wawe Wamelipa"

Post a Comment