RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO

RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO

Na Said Mwishehe, Blogu ya jamii.

MKUU wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa kitendo cha Rais, Dot. John Magufuli kufanya mazungumzo na waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa kumetoa funzo kwa vijana. 

Gambo ametoa kauli hiyo wakati anazungumza na Michuzi Blogu, jijini Dar es  Salaam ambapo amesema kitendo cha Lowassa kuomba kwenda kuonana na Rais Ikulu na kukubaliwa kuna funzo kubwa ndani yake na hasa vijana kutambua siasa si uadui. 

Amesema Rais, Dkt.Magufuli amethibitisha kuwa yupo kwa ajili ya watanzania wote bila kujali dini, kabila au itikadi za kidini na kubwa zaidi ameonesha mamba ambavyo ni msikivu kwa anaowaongoza. 

Amesema hata Lowassa wakati anazungumza akiwa Ikulu amesema amefarijika kukutana na Rais Magufuli na kufanya mazungumzo. 

"Kuna some kubwa la kujifunza hasa kwetu vijana kutambua siasa si uadui. Na unapokuwa kiongozi unastahili kumsikiliza kila mtu.Kwangu naona kuna kitu ambacho Kama kijana lazima tujifunze kutoka kwa Rais wetu,"amesema. 

Kuhusu wanaomshambulia Lowassa kwa uamuzi wake wa kwenda Ikulu amesema hao ni wachanga wa siasa.

"Nimemsikiliza Mwenyekiti wa  Chadema Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema lakini nachokiona kutoka kwako wanasumbuliwa na uchanga wa siasa tu,amesema Gambo. 


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/rais-dkt-magufuli-lowassa-wametoa-funzo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI, LOWASSA WAMETOA FUNZO KWA VIJANA-RC GAMBO"

Post a Comment