Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili

Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili
kiungo : Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili

soma pia


Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili

Picha/Makala na Josephat Lukaza
Siku ya Leo tutaangalia Makundi mawili yaliyobaki katika makundi mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa, Siku zilizopita Katika makala ya Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Kwanza tuliweza kuangalia Makundi mawili ambayo ni Viral Infections pamoja na Bacterial Infections. Leo tutaangalia makundi mengine mawili ya mwisho ambapo tutapata nafasi ya kuangalia ni magonjwa gani yapo katika Makundi hayo mawili yaliyosalia.
Yes Let's Back to Class kama wasemavyo Wazungu, Leo tutaangalia Makundi Mengine Mawili ambayo ni Kama Ifuatavyo
1: Fungal Infections
Fungal infections ni magonjwa ambayo  husababishwa na fangasi magonjwa haya yanaathiri binadamu pamoja na mbwa japokuwa Mbwa hushambuliwa mara kumi zaidi ya binadamu kwa magonjwa yasababishwyo na fangasi. Magonjwa yasababishwayo na fangasi kwa Mbwa yanaweza kuleta madhara katika Macho, Ubongo, ngozi nk. Katika Kundi hili la magonjwa yasababishwayo na fangasi Ni kama vile Blastomycosis, Histoplasmosis,>>>>KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili

yaani makala yote Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/fahamu-makundi-mbalimbali-ya-magonjwa_33.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Fahamu Makundi Mbalimbali ya Magonjwa ya Mbwa - Sehemu ya Pili"

Post a Comment