title : RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA
kiungo : RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA
RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameondoka nchini leo kuelekea Uganda kushiriki Mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijini Kampala.
Rais Magufuli ameagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF ), Jenerali Venance Mabeyo.
Hivyo makala RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/rais-magufuli-aondoka-nchini-kwenda.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI AONDOKA NCHINI KWENDA UGANDA"
Post a Comment