Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe

Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe
kiungo : Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe

soma pia


Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe

Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe aliyevaa koti la kahawia katikati akiwa pamoja na Mhandisi Peter Chisawilo kulia kwake ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano huo sambamba na Wadau wa Zana za Kilimo mara baada ya kuufungua mkutano huo jana katika ukumbi wa Mvuvi House, Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Zana za Kilimo Wizara ya Kilimo, Mhandisi Joseph Lubilo akitoa maelezo ya utangulizi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe aliyevaa koti la kahawia katikaki akiwa pamoja na Mhandisi Peter Chiswalo kulia kwake ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano huo, jana katika ukumbi wa Mvuvi House, Jijini Dar es Salaam .

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe ameyasema hayo wakati akifungua mkutano wa Wadau wa Zana za Kilimo wenye lengo la kupitia rasimu ya maboresho ya Sheria ya Zana za Kilimo nchini na kusisitiza kuwa Sheria mpya itatosaidia kuongeza tija na uzalishaji wa mazao ya kilimo ambayo ndiyo malighafi za viwanda vingi nchini. 

Akifungua mkutano huo, Mhandisi Mtigumwe amesema kilimo cha Tanzania kimepitia mageuzi mengi ya kisera na kimkakati na kwamba maboresho ya sheria ambayo Wadau wamekutana ili kuiboresha Sekta ya Zana za Kilimo, yana nafasi kubwa ya kuongeza tija na uzalishaji mkubwa katika kilimo na kuongeza kuwa ni vyema Wataalam wakijikita katika kutoa maoni na michango mizuri itakayochangia katika kuboresha. 
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe aliyevaa koti la kahawia katikati akiwa pamoja na Mhandisi Peter Chisawilo kulia kwake ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano huo sambamba na Wadau wa Zana za Kilimo mara baada ya kuufungua mkutano huo jana katika ukumbi wa Mvuvi House, Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Zana za Kilimo Wizara ya Kilimo, Mhandisi Joseph Lubilo akitoa maelezo ya utangulizi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe aliyevaa koti la kahawia katikaki akiwa pamoja na Mhandisi Peter Chiswalo kulia kwake ambaye alikuwa Mwenyekiti wa mkutano huo, jana katika ukumbi wa Mvuvi House, Jijini Dar es Salaam.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Hivyo makala Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe

yaani makala yote Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/12/sheria-mpya-ya-zana-za-kilimo-kuchochea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Sheria Mpya ya Zana za Kilimo kuchochea Mapinduzi ya Viwanda – Mhandisi Mtigumwe"

Post a Comment