Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi

Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi
kiungo : Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi

soma pia


Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi

 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akikunjuwa Kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Nyumba ya Wananchi itakayotumika kwa kusubiri kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi alipokwenda kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma wapili kulia akipata maelezo kutoka kwa Diwani wa Wadi ya Makunduchi Zawadi Hamdu Vuai kuhusiana na ujenzi wa Nyumba ya wananchi itakayotumika kuwaona Wagonjwa katika Hospitali ya Makunduchi Wilaya ya kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma katikati akipata maelezo kwa Daktari dhamana wa Hospitali ya Makunduchi Dk,Ali Omar Hamdu kuhusiana na ofisi za Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono baada ya kulifungua Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono lililofunguliwa na Waziri wa  Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Mkurugenzi wa Huduma za Hospitali Zanzibar Dk,Mohammed Dahoma  akizungumza na wananchi mbalimbali baada ya kufunguliwa Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono na Waziri wa  Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe, Rashid Ali Juma akitoa hotuba baada ya kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono na kuweka jiwe la msingi Nyumba ya wananchi ya kusubiri kuwaona wagonjwa Makunduchi Wilaya ya  Kusini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya kutimia miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi

yaani makala yote Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-wa-habari-aweka-jiwe-la-msingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri wa Habari aweka jiwe la msingi nyumba ya wagonjwa na kufungua Jengo la huduma za Mkono kwa Mkono Makunduchi"

Post a Comment