UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER

UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER
kiungo : UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER

soma pia


UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
JUMUIYA ya Umoja  wa Wanawake  Tanzania (UWT) Wilaya ya Temeke wamempongeza Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufulu kwa kuweza kutekeleza ahadi ya kununua ndege ya nne kati ya saba alizoziahidi.

UWT Temeke wamesema kuwa hiyo ni moja ya ahadi zilizoanishwa katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi na wamemuomba aweze kutimiza ahadi zote ili kuhakikisha upinzani wanakosa la kusema.

Akizungumza na wajumbe wa UWT Wilaya ya Temeke, Mgeni rasmi Mbunge wa Viti Maalum  Mkoa wa Dar es Salaam Mariam Kisangi  amesema kuwa serikali ya awamu ya tano ya Chama cha Mapinduzi imedhamiria kutimiza ahadi zote zilizoanishwa wakati wa kampeni  na tayari zinafanyiwa kazi ikiwemo kununua ndege ya nne kati ya saba na zile zitakazoanza kutekelezwa kwenye bajeti ya 2018/19.

"Rais wetu Dkt Magufuli aliahidi kununua ndege saba zitakazokuwa mali yetu na mpaka sasa ameshanunua ndege  ikiwemo Boeing  787-8 Dreamliner  na kutimiza idadi ya ndege nne kati ya saba alizotoa ahadi kwenye kampeni zake mwaka 2015,"amesema Mb Mariam.

Mb. Mariam amesema kuwa kwa upande wa Wilaya ya Temeke tayari utekelezaji wa mradi wa barabara, elimi, afya, maji na huduma zinginezo za kijamii pamoja na mapambano dhidi ya ufisadi na rushwa katika jamii.
Mbunge wa Viti Maalum  Mkoa wa Dar es Salaam Mariam Kisangi  akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Wilaya ya Temeke wakati wa hafka yao ya kumpongeza Mwenyekiti wa Chama na Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombr Magufuli kwa kununua ndege ya nne Boeing 787-7 Dreamliner kati ya saba alizozitoa katika ahadi yake wakati wa kampeni za uchaguzi 2015.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Temeke, Rukia Kamal akizungumza na wajumbe wa UWT Temeke wakati wa hafla ya kumpongeza  Mwenyekiti wa Chama na Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombr Magufuli kwa kununua ndege ya nne Boeing 787-7 Dreamliner kati ya saba alizozitoa katika ahadi yake wakati wa kampeni za uchaguzi 2015.
 Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT)  Wilaya ya Temeke wakiwa katika hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Chama na Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombr Magufuli kwa kununua ndege ya nne Boeing 787-7 Dreamliner kati ya saba alizozitoa katika ahadi yake wakati wa kampeni za uchaguzi 2015.
 Mbunge wa Viti Maalum  Mkoa wa Dar es Salaam Mariam Kisangi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe  wa UWT Wilaya ya Temeke wakati wa hafla ya kumpongeza  Mwenyekiti wa Chama na Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombr Magufuli kwa kununua ndege ya nne Boeing 787-7 Dreamliner kati ya saba alizozitoa katika ahadi yake wakati wa kampeni za uchaguzi 2015.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER

yaani makala yote UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/uwt-temeke-wampongeza-rais-magufuli-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UWT TEMEKE WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUNUNUA NDEGE YA NNE BOEING 787-8 DREAMLINER"

Post a Comment