title : Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba
kiungo : Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba
Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba
Waziri wa kazi , Uwezeshaji , Wazee, Vijana , Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maudline Cyrus Castico, akifunguwa mradi wa maji safi na salama , ikiwa ni miongoni mwa madhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar., huko Kifundi Wilaya ya Micheweni Pemba.
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee , Vijana , Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Maudline Cyrus Castico, akiwasha Switch ya Umeme kuashiria mradi uko tayari kwa kuanza matumizi ya maji safi na Salama katika mradi wa maji safi na Salama huko Kifundi Wilaya ya Micheweni
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee , Vijana , Wanawake na watoto wa Serikali ya Mapindduzi Zanzibar , Maudline Cyrus Castico, akizungumza na Wananchi na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe hiyo ya ufunguwaji wa mradi wa maji safi na salama ikiwa ni miongoni mwa madhimisho ya sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi wa Kifundi, Wilaya ya Micherweni wakimsikiliza Waziri wa Kazi, Uwezeshaji , Wazee , Vijana , Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Maudline Cyrus Castico, alipokuwa akizungumza nao
PICHA NA MASANJA MABULA-PEMBA.
Hivyo makala Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba
yaani makala yote Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/waziri-castico-azindua-mradi-wa-maji.html
0 Response to "Waziri Castico azindua mradi wa maji safi na salama katika maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi Kifundi, Micheweni Pemba"
Post a Comment