title : MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA
kiungo : MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA
MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA
Sehemu ya waombolezaji wakiwa msibani eneo la Magomeni Jijini Tanga
Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Tanga,Burhan Yakub kushoto ambaye amefiwa na mkewe akiwa na ndugu jamaa wakati wa msiba huo nyumbani kwake eneo la Magomeni Jijini Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella katikati akiwa eneo la msibani Magomeni Jijini Tanga kulia ni Katibu Itikadi na Uenezi CCM wilaya ya Tanga, Lupasio Kapange
Wananchi wakifukia mwili wa aliyekuwa mke wa Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi mkoani Tanga,Burhan Yakub
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari mkoani Tanga,Hassan Hashimn akiteta jambo na wandishi wa habari mkoani Tanga wakati wa msiba huo. Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Hivyo makala MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA
yaani makala yote MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mazishi-ya-mke-wa-mwandishi-wa-habari.html
0 Response to "MAZISHI YA MKE WA MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MWANANCHI MKOANI TANGA"
Post a Comment