AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO

AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO
kiungo : AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO

soma pia


AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO

Na Agness Francis Globu ya jamii 

 MABINGWA wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wanaendelea vizuri kufanya mazoezi kuelekea mchezo ujao wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya KMC iliyopanda daraja. 

 Katika msimu huu kikosi hicho kimefanikiwa kufika tena hatua ya 16 bora ambapo watashuka katika dimba la Uwanja wa Azam Complex wakiwa wageni dhidi ya timu hiyo siku ya kesho saa moja usiku. Ambapo kikosi hicho kina historia ya kufika mara mbili hatua ya 16 bora ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kwa misimu miwili iliyopita tangu michuano hiyo iliporudishwa tena mwaka 2015. 

 Msimu wa 2015/2016 wakati kikosi hicho kikifika hatua ya fainali na kufungwa na Yanga mabao 3-1, Azam FC ilikutana na Panone ya mjini Moshi kwenye hatua ya 16 bora katika mechi ngumu iliyofanyika Uwanja wa Ushirika, ambapo matajiri hao walitoka nyuma kwa bao moja na kushinda 2-1, mabao yaliyofungwa na wachezaji wa zamani wa timu hiyo, beki Pascal Wawa na mshambuliaji Allan Wanga. 

 Azam FC iliyoishia hatua ya nusu fainali msimu uliopita baada ya kufungwa na Simba bao 1-0, ilifuzu hatua ya robo fainali baada ya kuitoa Mtibwa Sugar kwa kuipa kipigo cha 1-0, kwenye hatua ya 16 bora mchezo ulipofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, bao likifungwa na winga Ramadhan Singano 'Messi'.


Hivyo makala AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO

yaani makala yote AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/azam-fc-kmc-kushuka-dimbani-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZAM FC, KMC KUSHUKA DIMBANI KESHO"

Post a Comment