title : Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1
kiungo : Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1
Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1
Kaimu kocha mkuu wa Simba akishauriana jambo na wachezaji wake wakati wa mchezo wao na Mwenge wa Kombe la Mapinduzi katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
Mshambuliaji wa Simba Said Hamis Juma "Ndemla" akimiliki mpira wakati wa mchezo wao na Mwenge wa Kombe la Mapinduzi katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Mlandege Khamis Abuu akimpita beki wa Timu ya Zimamoto Suleiman Said wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda bao 2-1
MSHAMBULIAJI wa Timu ya Zimamoto Ibrahim Hilika akimpita beki wa Timu ya Mlandege Edwin Charles wakati wa mchezo wa Kimbo la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda bao 2-1. Picha zote na Othman Maulid.
Hivyo makala Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1
yaani makala yote Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kombe-la-mapinduzi-simba-na-mwenge.html
0 Response to "Kombe la Mapinduzi: Simba na Mwenge zatoka sare ya Bao 1-1"
Post a Comment