Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma

Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma
kiungo : Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma

soma pia


Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma



Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Joyce Ndalichako akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Mbunge wa Mbinga Mjini(CCM) Mhe. Sixtus Mapunda akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk Susan Kolimba katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Mbunge wa Kalenga (CCM) Mhe. Godfrey Mgimwa akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Mbunge wa Mwibara (CCM) Mhe. Kangi Lugola akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe. Asha Juma akiuliza swali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Makazi katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Holy Trinity English Medium kutoka Mkoani Dodoma wakiwa Bungeni kwa ajili ya kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 12, 2017.


Picha zote na Daudi Manongi, MAELEZO, DODOMA.


Hivyo makala Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma

yaani makala yote Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/matukio-bungeni-yaliyojiri-bungeni-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio /Bungeni : Yaliyojiri Bungeni Leo Mjini Dododma"

Post a Comment