title : Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando
kiungo : Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando
Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando
Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba Abeid Juma Ali akikagua banda la vijana wa kikundi cha Kujikomboa Group kiliopo shehia ya Gando Ziwengi Wilaya ya Wete lililoteketezwa kwa moto na watu wasiyojuilikana usiku wakuamkia leo januari 26.
Mkuu wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akizungumza na vijana wa kikundi cha Kujikomboa Group cha shehia ya Gando Ziwengi alipofika kuwafariji.
Pichani ni eneo la shamba la matunda na alizeti linaloshughulikiwa na kikundi cha Kujikomboa Group cha Gando Ziwengi.
Picha na Makame Mshenga Pemba.
Hivyo makala Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando
yaani makala yote Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/watu-wasiojulikana-wateketeza-kwa-moto.html
0 Response to "Watu wasiojulikana wateketeza kwa moto banda la kikundi cha Kujikomboa Group shehia ya Gando"
Post a Comment