BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5

BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5
kiungo : BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5

soma pia


BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5

Benny Mwaipaja-WFM, Dodoma

Mikoa mitatu ya Tanga, Morogoro na Iringa, imenufaika na kiasi cha shilingi bilioni 6.5 zilizotolewa kama mkopo na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) tangu benki hiyo ianzishwe mwaka 2015.

Kauli hiyo imetolewa leo Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akijibu swali na msingi lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Felister Aloyce Bura, aliyetaka kufahamu ni lini Serikali itaanza kutoa huduma kwa wakulima wadogo wadogo wa mkoa wa Dodoma.

Dkt. Kijaji ameeleza kuwa hadi kufikia mwezi Desemba, 2016, TADB imetoa mikopo ya jumla ya shilingi 6,489,521,120 kwa ajili ya kutekeleza miradi ishirini (20) ya kilimo katika mikoa hiyo mitatu ya Iringa, Morogoro na Tanga.

“Sambama na utoaji mikopo, Benki inatoa mafunzo kwa wakulima ambapo hadi sasa vikundi 336 vya wakulima wadogowadogo vyenye jumla ya wanachama 44,400 wamepatiwa mafunzo hayo katika mikoa hiyo mitatu” aliongeza Dkt. Kijaji

Amesema kuwa Benki hiyo inatarajia kuanza kutoa huduma hiyo kwa wakulima wadogowadogo wa Mkoa wa Dodoma na mikoa mingine jirani wenye sifa.

“Benki imepata nafasi kwa ajili ya kufungua ofisi katika jengo la PSPF mjini Dodoma na itakabidhiwa ofisi hiyo mwezi Julai, 2017, baada ya mkandarasi kukamilisha ujenzi wa jengo hilo” Alisisitiza Dkt. Kijaji

Dkt. Kijaji amesema kuwa tayari Benki hiyo imemwandikia barua Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma ili kuomba aipatie miradi mizuri ya kilimo ambayo mkoa unapendekeza Benki iifikirie katika zoezi la kutoa mikopo itakayoanza kutolewa mwishoni mwa mwaka 2017.


Hivyo makala BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5

yaani makala yote BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/benki-ya-maendeleo-ya-kilimo-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA-TADB YAKOPESHA WAKULIMA WADOGO SHILINGI BILIONI 6.5"

Post a Comment