UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017

UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017
kiungo : UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017

soma pia


UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru akitoa maelekezo ya kumchagua mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017.
Wawakilishi wa wafanyakazi bora wa Idara/Vitengo vya Ofisi ya Rais-Utumishi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Jane Kajiru wakishuhudia kura zikihesabiwa ili kumpata mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017.
Watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisikiliza maelekezo ya uchaguzi wa mfanyakazi bora wa ofisi wa mwaka 2017 uliofanyika leo katika ofisi hiyo.


Hivyo makala UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017

yaani makala yote UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/utumishi-yachagua-mfanyakazi-bora-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UTUMISHI YACHAGUA MFANYAKAZI BORA WA MWAKA 2017"

Post a Comment