Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT

Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT
kiungo : Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT

soma pia


Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT

Baada ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutangaza Benki ya Wakulima Kagera kuwa imefutiwa leseni na kuwekwa chini ya mufilisi baadhi ya wananchi wamefika kwenye benki hiyo ili kujua hatima ya fedha zao na kukuta tayari imefungwa.

Baadhi yao ni wale waliokuwa wamefungua akaunti za vikundi ambao hata hivyo hawakuwahi kuchukua kiasi chao cha fedha baada ya kukuta tayari milango imefungwa na nje kubandikwa taarifa iliyotolewa na BoT kuhusu kufilisika kwa benki hiyo.

Baadhi ya watu hao wamesema walikwenda kupata huduma kama kawaida lakini wakakuta hali hiyo ilivyo.

Mmoja wa wananchi waliokosa huduma Zablon Zakayo amesema waliunda umoja wa mafundi wa uchomeleaji na leo Alhamisi walihitaji kiasi cha 600,000 kwa ajili ya shughuli za mradi wao na kukopeshana.
 
Amesema kwa hatua huyo ya ghafla mradi wao utayumba na kuomba waruhusiwe kuchukua kiasi cha fedha kuendesha shughuli zao.

Kwa upande wake mwalimu Oscar Anta amesema alifuata kiasi cha fedha kwenye akaunti ya kikundi na kukuta taarifa iliyotolewa na Benki Kuu kuhusu kufilisika kwa benki ya wakulima na kuwa sehemu ya fedha ilikuwa ya wanachama kwa ajili ya ada za shule.


Hivyo makala Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT

yaani makala yote Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/wateja-waibuka-kuulizia-fedha-zao-benki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wateja waibuka kuulizia fedha zao benki iliyofungwa na BoT"

Post a Comment