title : CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
kiungo : CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
Meneja wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe Rosada Fredrick akizungumza na waandishi kufanya udahili katika maonesho ya Vyuo Vikuu.
Wanfunzi wakipata maelezo katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe.
CHUO Kikuu Mzumbe kimesema kuwa katika maonesho vyuo vikuu katika viwanja vya Mnazi mmoja wanadahili moja kwa moja kwa njia kieletroniki kwa wale wanaotaka kujiunga na chuo hicho.
Akizungumza katika maonesho hayo Meneja Mawasiliano wa Chuo hicho Silvia Lupembe amesema katika maonesho hayo watanzania watumie fursa ya kupata taarifa za chuo hicho na wataotaka kujiunga watafanya udahili kwa kupata muongozo kwa watumishi waliopo katika maonesho.
Amesema Chuo Kikuu Mzumbe kinahistoria katika utoaji wa elimu bora hivyo ni fursa katika maonesho kwa wananchi kutembelea na kupata taarifa za chuo.
Lupembe amesema wakati kuwa dirisha liko wazi kwa waombaji kuomba kwa njia ya kieletroniki.
"Tunajivunia katika utoaji wa elimu bora kwa wanafunzi hivyo ni fursa kwao vijana kujiunga na chuo hicho"amesena.
Hivyo makala CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
yaani makala yote CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/chuo-cha-mzumbe-wafanya-udahili-wa.html
0 Response to "CHUO CHA MZUMBE WAFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI WAPYA NDANI YA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA"
Post a Comment