title : Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa
kiungo : Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa
Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa
Mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mtoto wa Kingunge, Kinje Ngombale amethibitisha taarifa hizo na kwamba kifo cha mama yake kimetokea wakati baba yake pia ni mgonjwa.
"Ni kweli mama amefariki na baba amelala kwa sababu ndio kwanza ametoka chumba cha upasuaji aling'atwa na mbwa. Tutamwambia akiamka," amesema
Hivyo makala Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa
yaani makala yote Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mke-wa-kingunge-afariki-dunia-mumewe.html
0 Response to "Mke wa Kingunge afariki dunia mumewe akiwa amelazwa"
Post a Comment