TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI

TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI
kiungo : TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI

soma pia


TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI


Mwambawahabari
Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme, wameomba radhi wananchi wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es salaam, kuwa na subira katika kipindiki hiki ambacho wanashughulikia tatizo lake.


Kwenye taarifa maalum iliyotolewa kwa vyombo vya habari, imesema kivuko hicho kimeharibika kutokana na kamba na nanga za maboti ya wavuvi kunasa kwenye mitambo ya kuendesha kivuko hicho, na kusababisha huduma kusimama kwa muda.

Kutokana na tatizo hilo Wizara imesema viuko vingine kama Mv. Kazi na Mv. Kigamboni vinaendelea na shughuli za kuvusha watu, huku ikiwataka wananchi wanaofanya shughuli zao za kibinadamu upande wa Kigamboni kutokufanya shughuli hizo karibu na maegesho ya kivuko ili kuzuia tukio kama hilo kujitokeza tena.


Hivyo makala TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI

yaani makala yote TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/temesa-yaombaradhi-kukwama-kwa-usafiri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TEMESA YAOMBARADHI KUKWAMA KWA USAFIRI WA PANTONI"

Post a Comment