WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.

WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.
kiungo : WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.

soma pia


WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.

WAFANYAKAZI wa bima ya Britam ambayo hutoa bima za magari, bima za nyumba, bima za wakandarasi, bima za usafiri wa majini pamoja na bima za safari bima za afya pamoja na nyingine nyingi leo wametembelea kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi hao wametoa vitu mbalimbali kama vile Unga kilo 300
Maharage 250,Sukari kilo 200,sabuni za unga,Karatasi nyeupe (limu bunda)200,Daftari boksi 500, Mafuta ya kula lita 100,chumvi pamoja na vifaa mbalimbali vya shule.

Vitu hivyo vyote vimegharimu shilingi milioni Saba ambayo wameona wagawane faida waliyoipata katika kushaherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza ya Oktoba duniani kote.

Kwa upandewa  Katibu mtendaji wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA, Hasan Khamis  amewashukuru uongozi kampuni ya bima ya Britam  kwa kuwaona wao kwani kunavituo vingi hapa nchini "Tunashukuru kwa kutuona sisi CHAKUWAMA na kwa kuona mchango wetu.
Mkuu wa operesheni wa Bima ya Britam, Farai Dogo akimkabidhi msaada wa vitu mbalimbali Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA, Hasan Khamis  kilichopo Sinza jijinini Dar es Salaam leo ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka wiki ya kwanza Oktoba duniani Kote.
Meneja masoko wa bima ya Britam,Godfrey mzee akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA, Hasan Khamis msaada huo ni shukrani kwa wateja wa bima iyo ambapo wameona watoe faida kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo kilichopo sinza jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa bima ya Britam wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakikabidhi vitu mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo sinza jijini Dar es Salaam. 
Katibu mtendaji wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWA, Hasan Khamis akizungumza na wafanyakazi wa bima ya Britam na kuwaelezea historia ya kituo hicho pamoja na changamaoto pamoja na mafanikio waliyoyapata.
Pia amewashukuru wafanyakazi wa bima ya Britam kwa kuwapa msaada huo.
 Baadhi ya wafanyakazi wa bima ya Britam wakimsikili katibu Mtendaji wa kituo cha kulelea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Bima ya Britam wakiwa katika picha ya  pamoja jijini Dar es Salaam leo.


Hivyo makala WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA.

yaani makala yote WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/wafanyakazi-wa-bima-ya-britam-watoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAFANYAKAZI WA BIMA YA BRITAM WATOA MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHAKUWAMA."

Post a Comment