SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO

SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO
kiungo : SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO

soma pia


SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO

*Mkurugenzi aelezea namna wanavyotoa elimu ya  kuokoa maisha ya mama mjamzito

*Wapania kumfanya mwanamke mjamzito kuwa malkia, mwanamke shujaa na mwenye thamani 
*Aprili 6 mwaka huu Rais Mstaafu , Dk.Jakaya Kikwete  mgeni rasmi sherehe ya miaka mitano  ya uwepo wa CSI.

 Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

NGUVU ya mwanamke na iheshimiwe, itukuzwe maana imeshafanya mapinduzi mengi duniani na yoyote mwenye kumdharau au kumuumiza mwanamke hafai kutambulika kama binadamu mwenye kujitambua.

Ukweli ni kwamba mwanamke ni malkia na maisha yake ya sasa na baadae yanahitaji heshima kubwa. Pamoja na hayo mheshimu mwanamke maana wewe umetoka ndani yake, na unamwita mama.

Mwanaume ili aitwe baba anahitaji mwanamke. Mwanaume mwenye akili  timamu huhitaji mapenzi ya kweli na hayo hayapatikani kwingine zaidi ya kwa mwanamke. Mwanamke ni maisha.

Unaweza kujiuliza kwanini nimeanza kwa kueleza yote hayo. Kabla sijajibu sababu ya kuelezea hayo kwa kina niongeze tu mwanamke ni kiumbe mwenye thamani  mbele ya viumbe vilivyopo chini ya jua .

Kwanini? Jibu ni kwamba pamoja na sababu nyingine nyingi lakini Mungu amempa kazi moja ambayo ni muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mwanamke ndio mwenye uwezo wa kuleta  mtu mpya duniani.



Hivyo makala SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO

yaani makala yote SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/shirika-la-csi-lapania-kuokoa-maisha-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA CSI LAPANIA KUOKOA MAISHA YA MAMA MJAMZITO"

Post a Comment