title : WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000
kiungo : WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000
WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamisi Kigwangalla amekutana na kufanya mazungumzo na Wakala wa watalii kutoka Beijing nchini China, Bw.He Liehui ambaye kwa mwaka huu amepanga kuwaleta watalii 10,000 nchini Tanzania na kwa sasa yupo nchini kwa ajili ya kufanya maandalizi ya watalii hao.
Mazungumzo hayo kati yao yamefanyika katika ofisi ndogo ya Wizara hiyo Mpingo House jijini Dar es Salaam
Aidha, Wakala huyo Bw.He anatarajia pia leo kuonana na Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe.Kassim Majaliwa.
Hivyo makala WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000
yaani makala yote WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/waziri-kigwangalla-akutana-na-wakala.html
0 Response to "WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAKALA ATAKAYELETA WATALII 10,000"
Post a Comment