Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba

Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba
kiungo : Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba

soma pia


Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba


Hospitali ya Kanda ya Bugando inatarajia kuajili Madaktari na wauguzi 13 kutoka nchini Cuba katika kuhakikisha wanatoa huduma bora za afya kwa wananchi kutokana na kuongeza idadi hiyo ya madaktari.

Akizungumza Balozi wa Cuba nchini Tanzania Profesa Lucas Polledo amesema ziara yake katika hospitali Bugando ni kutokana ushirikiano uliopo kati ya Bugando na nchi ya Cuba.

Balozi amesema kuwa lengo ni kuangalia utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Aidha amesema kuwa wanaendelea kushirikiana na hospitali hiyo katika maeneo mengine ambayo yana changamoto katika utoaji wa huduma za afya.

Nae Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Kanda Bugando Profesa Abel Makubi amesema kuwa Madaktari saba wanakuja mwezi ujao na wengine watakuja.
Amesema kuna ushirikiano wa karibu kati ya hospitali ya Bugando na Cuba hivyo wanatarajia kupata mengi katika nchi hiyo.

Profesa Makubi mesema Madaktari wataokuja Madaktari Bingwa wa Mfumo wa Mkojo,Koo-pua na masikio (ENT),Wataalamuwa usingizi ,mionzi,na madaktari bingwa wa huduma za dharula pamoja na madaktari bingwa wa magonjwa ya ubongo na uti wa mgongo.


Balozi wa Cuba nchini Tanzania Profesa Lucas Polledo akitia saini kitabu cha wageni katika hospitali ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza wakati alipotembelea hospitali hapo akiwa na familia yake.
Balozi wa Cuba nchini Tanzania Profesa Lucas Polledo akizungumza na menejimenti ya Hospitali ya Bugando wakati alipofanya ziara akiwa familia yake ikiwa na mahusiano yaliyopo katika ya hospitali nan chi ya Cuba.


Hivyo makala Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba

yaani makala yote Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/hospitali-ya-bugando-kuajiri-madaktari.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Hospitali ya Bugando kuajiri Madaktari na wauguzi kutoka nchini Cuba"

Post a Comment