title : MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE.
kiungo : MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE.
MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE.
Anaandika Dixon Busagaga, Tarangire.
MWANAMITINDO na muigizaji maarufu Marekani aliyewahi kung’ara katika taji la Miss Universe, Marisela De Montecristo aliwasili nchini hivi karibuni ametembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kupokelewa na Mkuu wa Idara ya Utalii katika Hifadhi hiyo.
Muda mfupi baada ya kuwasili Mwanamitindo huyo aliyekuwa ameongozana na Mama yake mazazi pamoja na anayetajwa kuwa mchumba wake ,alikabidhiwa zawadi mbalimbali yakiwemo mavazi maalumu yanayotumiwa na Jamii ya Maasai.
Marisela baada ya kutembelea mane mbalimbali ya Hifadhi hiyo wakiwemo wanyama alieleza furaha yake huku akiahidi kuwa balozi wa vivutio vya utalii atakavyotembelea hapa nchini .
Mrembo huyo ambaye kwa sasa anaishi Los Angels amesema lengo la kuja nchini kutembelea vivutio vya utalii ni pamoja na kuangalia fursa mpya ipatikanayo katika sekta ya Utalii Duniani pamoja na kuvitangaza.
Mwanamitindi huyo anaendelea na ziara yake hiyo ya kitalii katika Hifadhi ya Ngorongoro ambako atashuhudia maajabu ya wanyama katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) na Bonde la ufa la Ngorongoro (Ngongoro Creator).”
Hivyo makala MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE.
yaani makala yote MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/mwanamitindo-wa-marekani-afurahishwa-na.html
0 Response to "MWANAMITINDO WA MAREKANI AFURAHISHWA NA VIVUTIO HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE."
Post a Comment