MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA

MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA
kiungo : MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA

soma pia


MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia),akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mara,Adam Malima (watatu kulia) na viongozi wengine, baada ya kukagua mradi wa Ujenzi wa Nyumba zinazooenekana pichani za askari polisi na familia zao ulioko kata ya Mukonde, Mkoani Mara, kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Henry Mwaibambe. Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari hao
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (katikati) na Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vicent Naano, kukagua nyumba za askari polisi na familia zao zilizopo kata ya Mukonde, Mkoani Mara, Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Henry Mwaibambe, baada ya kukagua nyumba za askari polisi na familia zao zilizopo kata ya Mukonde, Mkoani Mara,wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Mara ,Adam Malima (aliyevaa miwani) na Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vicent Naano.Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Henry Mwaibambe, akitoa ufafanuzi juu ya mradi wa Ujenzi wa Nyumba zinazooenekana pichani za askari polisi na familia zao ulioko kata ya Mukonde, Mkoani Mara kwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (aliyevaa miwani) na Mkuu wa wilaya ya Musoma, Dk. Vicent Naano. Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.
Familia za askari wanaotarajiwa kuhamia katika nyumba mpya zilizopo katika eneo la Mukonde, wakimsikiliza Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati alipotembelea kuona maendeleo ya mradi huo ikiwa ni ziara yake ya kikazi mkoani Mara. Nyumba hizo ziko katika hatua ya mwisho kukamilika ili ziweze kumaliza changamoto za makazi kwa askari.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Hivyo makala MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA

yaani makala yote MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/masauni-atembelea-mradi-wa-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA"

Post a Comment