title : JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU
kiungo : JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU
JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt . Ibrahim Msengi Ndugu wa Marehemu Athman Khamis Nyumbani kwake Sinza kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba, Marehemu amefariki ghafla usiku wa kuamkia jana kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua ghafla na kulazwa hospitalini hapo kwa matibabu.Marehemu Athuman Hamisi alikuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali TSN,anatarajiwa kuzikwa leo makaburi ya Kisutu .
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN Dkt. Jimmy Yonaz nyumbani kwa Marehemu Athuman Hamisi Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi. Tuma Abdallah Naibu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN Nyumbani kwa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto wa Marehemu Athuman Hamisi, Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na na Dkt.. Jimmy Yonaz Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali TSN na ndugu wa marehemu Dkt Ibrahim Msengi Nyumbani kwa Marehemu Athumani Hamisi, Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Ankal Issa Michuzi nyumbani kwa Marehemu Athuman Hamisi,Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na ndugu , na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiafamilia ndugu , na jamaa na marehemu wa Marehemu Athman Khamis Sinza Kijiweni jijini Dar es salaam alipokwenda kuhani msiba.
Hivyo makala JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU
yaani makala yote JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/jk-amlilia-marehemu-athuman.html
0 Response to "JK AMLILIA MAREHEMU ATHUMAN HAMISI,KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU"
Post a Comment