DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI

DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI
kiungo : DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI

soma pia


DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI


Na Ripota Wetu,Blog ya jamii

MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro,Rosemary Staki Semanyule, ametoa maagizo kwa wanavijiji kuhakikisha mashamba matano ambayo yamebainika kuwa na mirungi katika Kijiji cha Rikweni ndani ya Kata ya Tae ing'olewe.

Ametoa maqizo hayo baada yankubainika kuwa na kuna mashamba ya mirungi walipokuwa kwenye ziara ya kamati ya Usalama na wataalamu iliyofanyika katika kijiji cha Rikweni Kata ya Tae. 

Akifafanua zaidi Mkuu wa Wilaya hiyo ya Same amesema lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kukagua uchimbaji barabara lakini wakao a kuna kuona mashamba ya mirungi na kuamua kuenda kung'oa mirungi kwa msaragambo ambayo wenye mashamba hayo wamekuwa sugu na kuyaacha bila kung'oa. 

Hivyo ameagiza hadi Januari 11, 2019 mashamba matano yaliyobaki na mirungi yawe yameng'olewa ambapo pia amewataka viongozi wa vijiji kusimamia na kuwa wakishindwa kung'oa, basi wananchi watang'oa badala yao.

" Ili kujenga uzalendo wa kila mmoja kusimamia sheria. Kwani nao hawatoi taarifa kuhusu wahalifu.Tumepunguza mirungi toka vijiji 46 hadi 8 sasa. Navyo ni watu wachache, na tutahakikisha tunaimaliza kaabisa," amesema.

Ametoa mwito kuwa vijiji/vitongoji vya Tae, Belle, Mmeni, Irete, Kisesa, Makasa na Vudee kuondoa mirungi michache iliyobaki na kwamba hakuna watakaemuacha salama.

" Same isiyo na mirungi, inawezekana"
 Baadhi ya wanavijiji wakihakikisha mashamba matano ambayo yamebainika kuwa na mirungi katika Kijiji cha Rikweni ndani ya Kata ya Tae inang'olewe.
 Baadhi ya wanakijiji wakijadiliana jambo .



Hivyo makala DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI

yaani makala yote DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/dc-same-aagiza-mashamba-yenye-mirungi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC SAME AAGIZA MASHAMBA YENYE MIRUNGI ING'OLEWE,WANAKIJIJI WAKUBALI"

Post a Comment