MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF
kiungo : MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

soma pia


MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

Kamati ya nidhamu iliyokutana Januari 1, 2018 ilipitia ripoti mbalimbali za mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons uliochezwa Uwanja wa Kaitaba Novemba 2, 2017 na ule kati ya Azam Fc na Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Chamazi Oktoba 27, 2017.


Kwenye mchezo kati ya Kagera Sugar na Tanzania Prisons,Meneja wa timu ya Tanzania Prisons Erasto Ntabahani alipelekwa kwenye kamati hiyo ya nidhamu kwa kosa la kumshambulia muamuzi wa akiba,kamati imejiridhisha kuwa Ntabahani alimshambulia kwa maneno muamuzi huyo wa akiba na hivyo imemfungia miezi miwili(2) na kulipa faini kwa mujibu wa kanuni ya 40(2) ya udhibiti wa viongozi.

Kamati pia ilipitia suala la golikipa wa Mbeya City Owen Chaima kudaiwa kumpiga mshambuliaji wa Azam FC Yahya Mohamed.

Chaima alikiri kumpiga Yahya na Kamati kupitia kanuni ya 35(7b) ya udhibiti wa wachezaji imemfungia kucheza mechi 4 na faini.


Hivyo makala MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF

yaani makala yote MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/maamuzi-ya-kamati-ya-nidhamu-ya-tff.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAAMUZI YA KAMATI YA NIDHAMU YA TFF"

Post a Comment