title : Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’
kiungo : Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’
Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’
Mtanzania Dkt. Louis Shika amedai mara baada ya kumaliza mambo yake hapa nchini anatarajia kwenda nchini Marekani kufanya kazi Umoja wa Mataifa (UN) ambapo aliteuliwa kuwa balozi miaka mitatu iliyopita.

Dkt. Shika amekiambia kituo cha runinga cha Azam kuwa anachoshughulikia kwa sasa hapa nchini ni kuingiza fedha zake zilizopo nje ya nchi ili awe kufungua kampuni na itakapoanza kufanya kazi ndipo atasafiri.
Utakumbuka umaarufu wa Dkt. Shika ulikuja baada ya kujitokeza katika mnada wa kuuza nyumba za Lugumi ambapo aliahidi kununua nyumba hizo kwa thamani ya Sh bilioni 2.3 lakini alishindwa kulipia asilimia 25 ya fedha hizo ambazo ni shilingi milioni 800, kisha kudai anangojea fedha zake kutoka nchini Urusi.
Dkt. Shika amekiambia kituo cha runinga cha Azam kuwa anachoshughulikia kwa sasa hapa nchini ni kuingiza fedha zake zilizopo nje ya nchi ili awe kufungua kampuni na itakapoanza kufanya kazi ndipo atasafiri.
“Basi nitakuwa nimemaliza kazi yangu kwa hapa Tanzania ninaondoka kwenda Marekani kuitumikia dunia, mimi ni balozi katika Umoja wa Mataifa uteuzi ambao ulifanywa 2014 na sikuripoti kazini lakini hawajakata tamaa miezi miwili iliyopita nimepandishwa cheo kwa ngazi ya juu,” amesema Dkt. Shika.
“Mwanzo niliteuliwa kuwa balozi wa wakimbizi kwa upande wa Afrika, sasa nimechaguliwa kuwa balozi wa wakimbizi ulimwenguni kote, kwa hiyo ofisi kutoka Nairobi inahama kwenda New York,” amesisitiza.Utakumbuka umaarufu wa Dkt. Shika ulikuja baada ya kujitokeza katika mnada wa kuuza nyumba za Lugumi ambapo aliahidi kununua nyumba hizo kwa thamani ya Sh bilioni 2.3 lakini alishindwa kulipia asilimia 25 ya fedha hizo ambazo ni shilingi milioni 800, kisha kudai anangojea fedha zake kutoka nchini Urusi.
Hivyo makala Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’
yaani makala yote Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’ mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/dkt-shika-aeleza-mipango-ya-kwenda.html
0 Response to "Dkt. Shika aeleza mipango ya kwenda Marekani, ‘Mimi ni balozi Umoja wa Mataifa’"
Post a Comment