title : Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF
kiungo : Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF
Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ameitaka TFF kuyafanyia kazi malalamiko yote yanayohusu michezo ya ligi daraja la kwanza, kati ya Dodoma FC vs Alliance na Pamba vs Biashara.
Sakata la maamuzi yasiyo ya haki katika michezo ya Dodoma FC dhidi Alliance ya Mwanza na Pamba ya Mwanza dhidi Biashara ya Musoma ndio limefanya Waziri mwenye dhamana ya michezo kutoa agizo hilo kwa shirikisho ili kuhakikisha utata huo unamalizika.
Katika taarifa yake Waziri Mwakyembe ameeleza kusikitishwa na malalamiko ya vitendo vya uonevu na upendeleo katika maamuzi ya mechi hizo huku TFF ikiwa kimya bila kutoa ufafanuzi wa maamuzi hayo.
Hivyo makala Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF
yaani makala yote Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mwakyembe-atoa-maagizo-mazito-tff.html
0 Response to "Mwakyembe Atoa Maagizo Mazito TFF"
Post a Comment